DOWNLOAD MP3: Diamond Platnumz – Kamata
                               
     

 "naijaoxford  
 
Lyrics Music

Diamond Platnumz – Kamata

Kamata By Diamond Platnumz



Diamond Platnumz – Kamata, mp3 Download, Audio, song, music

DOWNLOAD MP3: Diamond Platnumz – Kamata

DOWNLOAD MP3: Diamond Platnumz – Kamata

Nigeria most Talented singer Diamond Platnumz come through with new song Title Kamata
Download Audio Song below and drop Your Comment.

Diamond Platnumz – Kamata

LYRICS

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata kiuno, kamata bega
Kamata kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Wooh! Maana chashuka chini unanitega

ALSO CHECK  DOWNLOAD: Geebee – What It Takes Ft. Skales

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!)
Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!)
Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room

ALSO CHECK  Music: Flash – “Betta” ft. Tekno

Sa Twende kamata
Kama unaisakata nyumba kwa bambata
Ile kinoma
Tegeta, Tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!

Kati kati, Chini Chini, Kamata
Kasi Kasi, speed 120, Kamata
Eeeh! Kama unamenya ndizi, Kamata
Police anashika mwizi, Kamata

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema
Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

ALSO CHECK  VIDEO: Dabenja has just released an amazing video for his latest blazing single ‘Yakata’

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

DOWNLOAD MP3/AUDIO

Leave a Comment

Do You Want To Promote Your Music @ Naijaoxford? Click here To Contact Us

 

Related Posts

 


No one has commented yet. Be the first!

You must be logged in to post a comment.


                                       
%d bloggers like this: